Recent content by weteam

  1. W

    JamiiForums Tanzania Bacteria h.pylori ni ngumu sana kuonekana kweny vipimo?

    Inategemea na hosp za wilaya nahisi chini ya 150k ila za private na muhimbili private 350k to 400k
  2. W

    JamiiForums Tanzania Bacteria h.pylori ni ngumu sana kuonekana kweny vipimo?

    Wewe dalili zako zipoje
  3. W

    JamiiForums Tanzania Bacteria h.pylori ni ngumu sana kuonekana kweny vipimo?

    Basi ni hatar Sasa K gani maan ninayo
  4. W

    JamiiForums Tanzania Bacteria h.pylori ni ngumu sana kuonekana kweny vipimo?

    Basi ni hatar kwakweli
  5. W

    JamiiForums Tanzania Bacteria h.pylori ni ngumu sana kuonekana kweny vipimo?

    Habari wapendwa Naomba kuuliza hivi bacteria h.pylori ni ngumu sana kuonekana kweny vipimo maan nilipima kama mara mbili hosp kunwa za private ikaonekana neg nimepima mpaka endoscopy kuangalia tumbo limekaaje ila walikuta michubuko tu Nimeteseka sana nikarudi tena kwa Dr aliyenifanyia...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari bingwa wa tumbo la chakula

    Ndio naelewa mm nilitak jina la Dr na hospital maana nishangaika sana
  7. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari bingwa wa tumbo la chakula

    Habari naomba msaada kwa anayejua Dr mzuri wa tumbo la chakula na hospital anayopatikana
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya fungusi mdomoni na koo na asidi reflux

    Kuna uhusiano gani kati ya fungusi mdomoni na koo na asidi reflux, maana baadhi ya watu wenye tatizo la asidi pia ukutwa na fangasi hata mimi nina tatizo hilo nina fungus wasioisha mdomoni maana nilipimwa endoscopy dr aliniambiwa wapo pia kwenye koo NB: nimeanza kupata hili tatizo baada ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la Asidi Tumboni

    Kweli na mm nimeolewa mitara
  10. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Najaribu kuandika password inanigomea nifanyebjamani
  11. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Nani kafanikiwa kuapply anisaidie na mimi
  12. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Bado aiseee nahangaika
  13. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Asante sana
  14. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Asante sana ndugu
  15. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Sawa asante sana ndugu
Back
Top Bottom