Umepata faida gani zaidi ya dhambi kwa kurusha uuzushi usio ujua mwanzo wake wala mwisho,
Mungu anakuona kwa yoote ambayo yatawapandisha jazba wafuayiliaji katika safu hii na watakachokisema kibaya wewe ndio utahusika mbele ya Mwenyezi Mungu.
Wapo ndugu zetu wa visiwani pia shetani amewarubuni na hawakupendezewa kuona watu wa bara wanafaidika kwa kufanya kazi oman kwa hio wanajaribu kuzusha mambo yasio na kichwa wala mguu ilimradi kuwaharibia wote wakose,
Idadi ya waliofaidika kwa kufanya kazi oman ni wengi sana na wameuaga umasikini...
Hio video wala si oman kabisa, hakuna muomani mwenye damu baridi kiasi aone binadamu mwenzake anakufa na apate nguvu za kumrekodi kiasi hicho, hio video mimi nimeitambua kutokana na accent ya huyo dada anaezungumza katka hio clip hio,
Watanzania mkiwa kama ndugu zetu tunawaomba muwache kuhukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.