Zile Work permits ambazo si za lazima kwa wageni, bado zinatengenezwa mtaani, hasa kinondoni na Sinza. Maofisa wa uhamiaji mkishirikiana na wale wa idara ya Kazi na vishoka wenu,inaonekana mnachezea ndevu za Bwana Mkubwa. Tutawaumbua na hao Wakenya, Wakongoman na Wanaigeria wenu. Hawaitajiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.