Ukisoma stori yangu vzr, nilkutwa nimekaa kwangu nyumba z kupanga. Akasema anajenga nyumba mjini lkn sisi tutakua tunakaa huku tukijipanga maana yeye yuko kijijini hawezi kukaa mjini. Na hapo ni baada ya kuona tunamlelea wajukuu zake vzr na kuwasomesha. Baada ya kuijenga hiyo nyumba nilitaka hao...
Pole sana mkuu. Kuwakomesha ungeenda ukaleta greda au mafundi wakabomoa ukapata tofali za kuanzia kwingineko ili familia mpya wapate pa kukaa. Dunia hii jasho kamwe usiruhusu likapotea bure. Hakun mtu atakushukuru isipokua wazazi wako wa DAMU tu.
Ndugu wana JF wasalaaam,
Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi.
Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na mwanamke tukaanzisha mahusiano na hatimae tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Hapa hakuna ile ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.