Recent content by Well Informed Chap

  1. W

    Twiga Bancorp Running Bankrupt

    The State-owned bank Twiga Bancorp Ltd, which was created in 1992 as part of the operation to privatise National Bank of Commerce(NBC), is on the verge of going corrupt!
  2. W

    Wizi wa Zaidi ya Bilioni 480 Hazina: Nini kazi ya Upinzani/Bunge?

    This is a dream right? Mwigulu kawekwa hapo kimkakati. CCM wanataka kufanya zaidi ya hiyo Bilioni 480. Inashangaza kuona watu hamsomi picha. Kama hapa JF hamwelewi picha linaloendelea, wapi wataelewa?
  3. W

    Wizi wa Zaidi ya Bilioni 480 Hazina: Nini kazi ya Upinzani/Bunge?

    Kwa maana hiyo huu wizi usichunguzwe na haupo kabisa. Tuendelee hadi aje mwingine atakayeuongelea toka vyama vya siasa mnayemwamini ndio uchunguzwe? Great Thinkers!!!!
  4. W

    Wizi wa Zaidi ya Bilioni 480 Hazina: Nini kazi ya Upinzani/Bunge?

    Umenisoma vema kiongozi? Huu wizi sio wa zamani. Na soma majibu yangu kwa wengine. Naondoka cafe. Asante
  5. W

    Wizi wa Zaidi ya Bilioni 480 Hazina: Nini kazi ya Upinzani/Bunge?

    Zitawekwa hapa JF. Lakini medium ambayo ingepeleka ujumbe haraka kwa wananchi ni Bunge au Wapinzani majukwaani. Nasisitiza, nyaraka wanazo na huenda nilikuwa mmoja wa tuliowafikishia hizo nyaraka. As a GT, usitetee udhaifu. Tukiwakosoa hao tunaowapenda kama wapinzani mapema ndio watajenga...
  6. W

    Wizi wa Zaidi ya Bilioni 480 Hazina: Nini kazi ya Upinzani/Bunge?

    Na kuna siku nitaanika hapa jinsi wapinzani na baadhi ya wabunge walivyopata mgao wao. Watakaojitokeza kupinga nitawaumbua kwa kuweka ushahidi kadiri wanavyobisha. Ni udhaifu wetu, ni udhaifu wa wapinzani. Kuna msemo wa kiswahili usemao: "Masikini hachoki kuomba, akichoka ujue kishapata!"...
  7. W

    Wizi wa Zaidi ya Bilioni 480 Hazina: Nini kazi ya Upinzani/Bunge?

    Wakuu, Zimechapwa zaidi ya Bilioni 480 kutoka Hazina na wapinzani wamekaa kutimuana timuana na kumalizana wao kwa wao wakati Taifa likielekea kwenye janga kubwa. 'Vijana wa kazi' wamewapa kila nyaraka muhimu wapinzani na wabunge kadhaa wa CCM lakini inavyoelekea mgao utakuwa umesambaa kiasi...
Back
Top Bottom