Katika pitapita zangu za kufuatilia vivutio vingi vya Tanzania, na huduma zake nimegundua mambo kadhaa ya kushangaza sana.
Kwanza kabisa , Watanzania wengi hawapendelei kutembelea vivutio vyao vya utalii, wengi wao hawapo interested kabisa na utalii, hatuna culture ya kutalii na kiukweli wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.