Recent content by Waziri TZ

  1. W

    PreGE2025 Vijana ni kundi lililotengwa na uongozi

    Sisi sio kwamba hatuwezi..tunaweza vizuri sana mifumo iwape vijana wenye vigezo vya hizo teuzi kipaumbele..pia busara na hekima vinachangia sana ukizingatia sisi vijana baadhi yetu wengi vigezo vipo lakini mambo ya busara na hekima hatuna ukilinganisha na wazee wetu wanalamba teuzi..
Back
Top Bottom