Nilikuwa ktk demo, system yake ilitoweka hewani sioni kinachoendelea sokoni takribani dk 15, hiyo imetokea zaidi ya mara 2, unaweka order ya instant excution inachukua mda sana, una-close order na profit inabaki connecting mwisho una-close na loss. Hizo 10% nimempa kwa kuwa ni demo, ingekuwa...
fx ni tamu ukishaijua, inakupasa kweli upige mazoezi ya kutosha, use low timeframe kujua what next if you know PA. Fahamu namna ya kuchora support and resistance na ujue when it's broken. Ni kweli vitabu % kubwa ni hadithi sio real action. Mambo ya kupanga sijui pips ngapi kwa siku ni hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.