Recent content by WatotoApp

  1. WatotoApp

    Nani angependa hadithi za Watoto?

    Kaka, inapatikana Play Store, kwa jina la WatotoApp
  2. WatotoApp

    Nani angependa hadithi za Watoto?

    Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi. Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12. Kama ungependa kupata app hiyo, basi unaweza kuipata app hiyo katika PlayStore kupitia link hii...
  3. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Umekionaje kionjo nilichoweka? Nipe mrejesho wako.
  4. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Shukrani kiongozi. Kuandaa hadithi za Video kuna gharama kiasi, tofauti na hadithi za Audio. Kwa sasa, tunakusanya nguvu, kwa msaada wa Mungu tutafika huko.
  5. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Kaka, nashukuru kwa feedback yako, tumeifanyia kazi. Tumefanya mabadiliko kwenye app yetu. Fanya kui-download na kui-install tena kutoka Play Store. Hope itakuwa sasa, inafunguka vizuri.
  6. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Kionjo, ni hii hadithi nimekutumia.
  7. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Ukifanikiwa nipe mrejesho.
  8. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Hebu, ifunge kisha jaribu kuifungua tena.
  9. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Naona Jamii JF hawaruhusu kuweka links. Kwa hiyo, itabidi uende Play Store na kuitafuta. Jina la App ni WatotoApp.
  10. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Nimecheki online, bado sijajua simu hiyo inatumia version gani ya Android OS. Ukinitajia version, utakuwa umenisaidia kujua tatizo ni nini?
  11. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Unatumia Simu gani?
  12. WatotoApp

    SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

    Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi. Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12. Unaweza kuipata app hiyo katika PlayStore kupitia link hii...
Back
Top Bottom