Kitaa kwa kitaa tukizungumza na wakazi wa mtaa wa Kombo kuhusu umuhimu wa amani ya Taifa letu.
https://youtu.be/iczf_ktTHX8
Amani ya Tanzania inaanza na sisi , Kuilinda Amani ya nchi yetu ni jukumu letu sote. #Vijana_waleo_Wazalendo_wakweli
#amani #tanzania #kenya#daresalam#TANZANIA #AMANI
Mtaa kwa mtaa tukizungumza na vijana kuhusu umuhimu wa amani ya nchi yetu ya Tanzania, tukizunguka kwenye vijiwe mbalimbali ndani ya jiji la Dar es Salaam na kufanya interview na vijana kubaini uelewa wao kuhusu dhana nzima ya amani na nini madhara yake endapo itatoweka.
Tukiwa na kauli mbiu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.