Recent content by Watanabe_ RCH

  1. W

    Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    Kwahio benki wanakutafunia ili uwapige hela zao, sio?!
  2. W

    DOKEZO Hatari sana: Utapeli unaoenea kwenye biashara ya forex Tanzania

    Upo sahihi. Kwa yoyote anayetarajia kuingia kwenye ulingo wa trading ni vema akafahamu hakuna bot wala mtu wa kukutengenezea pesa sokoni. Usije thubutu kulipia Account management/bot/signals Shortcuts hua zina madhara mno, ili uweze kuingiza faida kwenye soko la Forex huna budi kutafuta...
  3. W

    Ni kawaida ya tajiri kuchukiwa, kama unataka utajiri jiandae kwanza kuchukiwa

    Wewe ni mzito kuelewa. Sababu ya watu 'kutoa' ipo katika jibu alilokupa huyo tajari wako. (Amani ya moyo)
  4. W

    Ni kawaida ya tajiri kuchukiwa, kama unataka utajiri jiandae kwanza kuchukiwa

    Nani alikueleza misaada hutolewa ili kutakatisha fedha?
Back
Top Bottom