Ugomvi mkubwa watokea chuo cha st.joseph songea mhindi mmoja amepata kipondo kutoka kwa wahindi wenzake baada ya kukataa shinikizo la kusaini barua ya kufukuza wanafunzi 25 chuoni akimbilia kwa raia wema na kuokolewa afunguka kuhusu uozo uliopo chuoni hapo asema wanafunzi wamegoma kwa haki asema...
Wanafunzi wa chuo cha st.joseph tawi la songea wamefanyiwa uzalilishaji na jeshi la polisi wavunjiwa milango na kutolewa nje wakiwa uchi wapigwa na kujeruhiwa vibaya majanga haya yamewakuta wanafunzi hao wakiwa wamekaa chini ya mti wakijadiliana ni namna gani serikali inawasaidia kutatua mgogoro...
leo siku ya tatu toka wanafunzi wa chuo cha mtakatifu joseph kilichoko mkoani ruvuma mkuu wa wilaya ajikanyaga kutoa tamko la serikar asema kwa kuwa wamefunga chuo na sisi tunakubali ashindwa kuonyesha msimamo wa serikar kuhusu mgomo huo wanafunzi wadai chuo kifutwe wahamishiwe vyuo vikuu na...
safi sana hao wahindi nasikia wanawafinya si muwapige na misharubu yao kwao maskn sana hafu na nyie arusha mnang'aa macho watawachapen fimbo hata hela hamjapewa nyie ni siro kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.