Thanks for your response and props bro!Hii Concept ni mpya kabisa and never been practiced anywhere before,So ni suala mtambuka linahitaji pia ushiriki wa wadau watunga sera ili kulifanya litekelezeke kwa urahisi na ufanisi mkubwa kwa maendeleo ya Nchi kwa ujumla.Kuhusu punguzo la 10% na...
Taxpayers Shop ni nini?
Huu ni mfumo wa mtandaoni nilioubuni kwajili ya kuhamasisha na kushawishi watu wote wa ngazi zote na biashara zote kuweza kulipa Kodi muda wote wanaponunua au kuuza bidhaa au huduma ya aina yoyote
Mfumo huu una lengo la kutengeneza msingi na kupanua wigo wa ulipaji Kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.