Recent content by WARIOBA

  1. W

    Fahari wawili wakipambana ziumiazo ni nyika

    Fahari wawili SERIKALI vs WALIMU Hivi karibuni tumeshudia malumbano ya kimasilahi baina ya walimu na serikali na hatimaye kupelekana mahakamani na serikali kupinga kisheria walimu kuendelea na mgomo, walimu wakakubali kuacha mgomo wa wazi na kuendelea na mgomo baridi tunaoushuhudia leo kupitia...
Back
Top Bottom