Recent content by war1914

  1. W

    Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja

    Wote sio wakristo tu
  2. W

    Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja

    Basi sawa, ushauri wako nikuwa nisingeandika hiyo kuajiliwa au, Siwezi danganya sina ajira wakati ni mwajiriwa
  3. W

    Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja

    Kichwa cha habari kinajieleza. Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha. Sifa zangu: Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi. Sifa za nimtakaye; Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale...
Back
Top Bottom