Recent content by wanzagi andrew

  1. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bobi Wine: Tanzania tuko kimya, Kenya kesho wanaandamana

    Revenge ya bomba la mafuta kuelekea Tanzania inaeza ikawa ni sababu ya kuandamana kwao nyuma ya mgongo wa Bob wine. "There's always another side to a reason behind"
  2. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mjini Kigoma wamtuhumu Zitto Kabwe kwa kuwadharau, Wamwomba Rais Magufuli kuingilia mgogoro wa ulipaji kodi

    Hahahaha mdau umembana sana ila nimeipenda hii kwa kuwa tunasahau sana kuweka uwiano ulio sawa kwenye mizani ya kukosoa malalamiko. "There should be a balance specifically complain balance bacause there is always another side to an argument"
  3. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tumshauri Kigwangala afanye kazi ya uwaziri. Anachokifanya sasa ni utalii mtupu

    Tunataka kuona multiplier effect zinazotokana na tourists expenditure ......... Tunataka kuona capital outflow inapungua kwenye tourism industry....... Tunataka kuona sustainable tourism .......... Tunataka safari zisizo na tija azipunguze........ Tunataka safari zinazoleta tija kwenye tourism...
  4. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Telecommuting, ujenzi wa daraja jipya la Selander, na foleni za Dar

    Ipo njema Telecommuting tatizo ni flexibility yetu. Changamoto huwa zipo tu, uwoga wa kutokujaribu njia mbadala ndio kuna amplify tatizo.
  5. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Marekani: Sen Bob Menendez amtaka Rais Trump kusaidia kuiokoa Tanzania kutokana na wimbi la kurudi nyuma kwa Demokrasia

    Trump Mw Trump mwenyewe alishiriiki kwenye compromisation ya uchaguzi uliopelekea yeye meenyewe kuingia white house...... "Democracy will never be stable.....democracy will always fluctuate as inflation rate or as currency exchange rate" Senetor apambane na kumshauri trump kwenye vita ya...
  6. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Japan economic miracle: Funzo kwa Rais Magufuli juu ya hatma ya Tanzania

    Even though amechanganya mambo ila mantiki ipo ......lenye kujenga ndio la maana zaidi kuliko kuchanganya historia .Ila salute kwako kwa kuweka sawa historia. "You can't depend on your eyes when your imagination is out of focus"
  7. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Ijulikane rasmi kwamba Usalama wa Taifa hawaruhusiwi kukamata raia, wawatumie Polisi

    "There's always another side to a story" sio kila investigation itaenda smoothly....! Kwenye karatasi ni rahisi kutenganisha kati ya law enforcement & investigation ila kwenye eneo la tukio kuna wakati huwa vinatumika pamoja na chombo kimoja.
  8. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Ijulikane rasmi kwamba Usalama wa Taifa hawaruhusiwi kukamata raia, wawatumie Polisi

    15._(1)The service shall,subject to this Act,have power to investigate any person or body of body of persons whom or which it has reasonable cause to consider a risk or source of risk of a threat to the state security.
  9. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msigwa: Tususie bidhaa za wafanyabiashara wanaounga mkono ukandamizaji Demokrasia

    Huko ni kuongeza tatizo lile la uchumi kushuka.... Mchungaji kwa maono haya amechana mkeka.
  10. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

    This is a clear sign that something negative is happening in our shipping industry ... Wepesi na ufanisi unahitajika kwenye kutatua hili la meli zilizokamatwa zenye mizigo hatarishi alafu our national flag ikiwa inapeperushwa na hizo meli nchi za wengine
  11. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

    We have been manipulated ....let us bite back kwa njia sahihi though the system has been compromised.
  12. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

    A ship in port is safe,but that is not what the ships are built for.
  13. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

    ANAJIKAANGA MWENYEWE....UKIMYA UNAFICHA MENGI...
  14. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Mnakula miguu ya kuku na utumbo kwa sababu ya CCM

    ILA kwenye karamu ulishiriki tena ulikuwa kwenye kamati iliyo kuu. UMESAHAU KITU KIMOJA MZEE KUKU MLIMMALIZA KABISA HATA HUO UTUMBO NA MIGUU HAVIKUPATIKANA... Hahahahaha hakika uliyoyanena yametukumbusha ushiriki wako.
  15. wanzagi andrew

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano

    Raisi ni mkuu wa nchi, na nchi ina mihimili mitatu kwa hiyo Raisi ni mkuu wa mihimili hiyo mitatu.... Raisi ni mkuu wa serikali......Raisi ni sehemu ya Bunge......Raisi ni sehemu ya mahakama (anamteua jaji mkuu na kusaini hukumu ya kifo)..... Ukikataa au kukubali Mamlaka ya Raisi kwa katiba...
Back
Top Bottom