Ka story just for encouragement nothing else,
Miezi 12 iliyopita nilikua huko Geita ndani ndani, ni baada ya kuzunguka sana kwenye maofisi ya hapa mjini daslamu kutafuta sehem ya kujitolea.... nilianzaga na moto sana baada ya kumaliza chuo 2021,si unajua tena ka GPA nako kalinipa kichwa...
Guys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi
Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.
Ni dka ya 60 hiyo ya mchezo, hakika mamb bado ni magumu sana kwa timu hii ya wansakieki.
hatari nyingine tena kule langoni mwa wansakieki, anakwenda kule yule ni "time is out stop writting", namna gani pale anapita vizuri kabisa hatari kuleee ana mwaga maji kuleee... oooh...
Ma tiss wameanza training?
Taking tra na NSSF as a case study.
Sioni sababu ya kwanin nitamani utumishi wakae pembeni na taasis zishike mpini. Na kwa hii system ya kuitana kwa emails naamin kuna watu wameenda kuriport kazin bila ata kupiga interview.
Mwingine nae et nafasi za entry level...
Mtu unaukaushia Uzi kwa mda kidogo,
Unarudi unakuta unread messages nyingi unaanza kuwaza huenda kuna jipya humu, then unakutana na tambo tu.
Kaushianeni bana kila mtu aendelee na mishe zake.
Mkuu ITpersonel endelea kutupa za ndani kaka asiye kuamin mkaushie. Dont loose your energy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.