Ukiwa na shughuri ya ndoa mambo mengi Sana walengwa ukutana nayo na hapo bado changamoto zitakuja nyingi Sana ambazo unaweza ukajiuliza maswali mengi Sana na ukakufuru apo binadamu Hana nafasi katika ushauri dili na Mungu tu funga hata siku tatu mwambie Mungu Kama huyu mwanaume ni wangu nipe...
Glory to yhwh, part 2 yake waliachana baadae Festo kaoa mke mwingine na anamtoto pia lkn pendo yupoyupo tu hata yule aliyekuwa anampenda alimkimbia kwa kusikia alichokifanya maana alimuaga anaenda kusalimia wazazi kumbe anaenda kuolewa ko mwanaume aliona Bora ajitoe kwake aliona kama ni binadamu...
Hadi Leo hakuna anayejua kwa Nini alitumia mda mrefu kufunguka kwa yanayo msibu pengine alikuwa anataka ushaid ulioshiba si unajuwa ndoa za kanisani kutengana ni kazi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.