Recent content by wanjeraa

  1. wanjeraa

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume wangu wakija nyumbani wanachukua kila kilicho mbele yao

    Hao ndgu Wa Mume punguza kuwachekea kbs watabeba hadi nyumba jaribu kuwa serious kila watakapo kuja vaa uso Wa mbuzi kbs Mara mbili tu wakirudia basis watatishaa
  2. wanjeraa

    JamiiForums Tanzania Mama na kaka yangu hawamtaki shemeji (mke wa kaka yangu)

    Ndugu Wa Mume wana mambo jaman(sio wote)
  3. wanjeraa

    JamiiForums Tanzania Mama na kaka yangu hawamtaki shemeji (mke wa kaka yangu)

    Umemaliza yote mpz bora ajieendee zake tu mwanamke akichoka ni kweli kachoka kweli
  4. wanjeraa

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume kuwa na wivu kwa mama zao

    Ndio mkuu ni mapenzi ya dhat au wiu
  5. wanjeraa

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume kuwa na wivu kwa mama zao

    Aiseee kumbe
  6. wanjeraa

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume kuwa na wivu kwa mama zao

    Habar wakuu polen na changamoto za uchaguzi... Kuna ili suala LA watoto wa kiume kuwa na wivu kwa mama zao endapo wanapo amua kuazisha mahusiano na mwanaume mwingne endapo mume wake kufariki au kuachana nimeshuhudia vijana wawili tofaut wakilia na kugombana na mama zao kisa wamaamua kua na...
  7. wanjeraa

    JamiiForums Tanzania Wanandoa weusi kuzaa mtoto mweupe inawezekana kweli?

    Nimeona mkuu duh
Back
Top Bottom