Recent content by Wanjara281

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mchepuko analazimisha nikalale kwake au atatembea na rafiki yangu

    Sasa kwani mchepuko akitoka na rafiki yako wewe unaumia vipi bro si wamekubaliana wao Ushauri wangu piga moyo konde baki na mkeo hii itakusaidia sana
  2. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kuna mtu kamtongoza mke wangu

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  3. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kuna mtu kamtongoza mke wangu

    Ishu za wanawake na wanaume kuchepuka ni kawaida wala hutakiwi kumfata huyo mwalimu kwa maana ukimfata huyo jamaa kesho wife wako atapata tena mwingine hiyvo utawafata wangapi Binafsi ushauri wangu kaa na mkeo mshauriane kutoka nje ya ndoa haifai pia inawaletea mkanganyiko ktk familia mwishowe...
Back
Top Bottom