Ni sawa lakini alichokifanya ni kitu kizuri, yafaa mwanaume amuoe mwanamke na sio vinginevyo, ufirwaji umepigwa marufuku hata kwenye vitabu vya dini, kufanya kitu tofauti na maumbile ya asili sio kitu cha kukifumbia macho.
Kwa takribani miaka 10 nimekua msomaji wa JamiiForums bila kua mchangiaji, sasa rasmi nimejiunga rasmi nitajumuika kuchangia mada mbalimbali
Shukrani sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.