Recent content by Wambua

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tafsiri

    Hamjambo, naomba kujua tafsiri ya neno "pavement" kwa kiswahili sanifu.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Majina

    Hili jina 'Kidoledole' nimelisikia leo.Bw mmoja anayefanya utafiti wa kiswahili ndiye aliyeniambia.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Majina

    Lile jina mwafaka ni "kidoledole" wingi ni vidoledole. Yaani jina analopewa mtu mwenye vidole sita vya mkono.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Majina

    Asante kwa hilo jina la kiingereza. Jina linalofaa la kiswahili ndilo tatizo kwangu.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Majina

    Tatizo langu ni ,mtu mwenye vidole sita kila mkono.Naomba kujua jina mwafaka .
  6. W

    JamiiForums Tanzania Majina

    Naomba kujua, mtu mwenye vidole sita huitwaje?
Back
Top Bottom