Recent content by Wakukomaa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Habarini wakuu!poleni na kazi nzito tuliyonayo ktk kuilemisha na kuijuza jamii hususan ktk suala zima la elimu natumaini bado hamjachoka nami naomba kujuzwa kuhusu vyeti(attachments) ktk loan application to HESLB, ni vyet gani vinahtajika(kwa mhitimu wa kidato cha 6)?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kama na hapa hawata toboa, hawa wadogo sijui wapewe nini tena??..

    Vipi madaraja na alama kwa A level mkuu?
  3. W

    JamiiForums Tanzania PCM vs PCB

    Unaonekana umesoma au unasoma PCM! unaonekana mjinga bado unajiita jenius,ok! nikufundishe tafsiri ya jenius ni mtu mwenye uwezo wa kuelewa kwa urahisi no matter anasoma nini! suala la memory linahitajika sana kwa PCB na mambo ni mengi sana ukijipretend jenius kwa kutotumia mda mwingi katika...
  4. W

    JamiiForums Tanzania PCM vs PCB

    Dogo acha ufinyu wa mawazo!urahisi wa mchepuo ni kwa mtu husika ninasoma PCB lakini mambo kawaida. Kama unapenda unachokisoma na una uwezo wake hakuna tabu. NB:hata HKL inaweza kumpa mtu fulani shida kuliko PCB au PCM!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa anayeijua musoma sekondari.

    Acha uzembe wa fikra wewe huyo kachaguliwa musoma tech ipo mkoani mara wilaya musoma mjini mtaa nyakato
  6. W

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa pugu high school

    Ha!ha!haaaa!Wakitaka ku'co-operate tupo kaka!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa pugu high school

    Dah! unaogopa kutaga a level au haraka ya fedha?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa pugu high school

    If very interested in competition you may immigrate.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa pugu high school

    Ah! dont you know why? c unajua pale ni wapigamsuri!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Siwezi kujuta wala kulaumu kuzaliwa mwafrika....naupenda uafrika wangu..cheki tunavyopendeza....!

    You better check the exact forum you want to visit before posting any thing" hili jukwaa halihusiani na ulichokipost! kifupi ni nonsense.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa pugu high school

    Hapa they must retreet! waje tupge msuri kwan nahamia hapo cos kibaha nilikochaguliwa siipendi bana i dont know the reason behind!
  12. W

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa pugu high school

    Jamani mbona kimya au hampo
  13. W

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa pugu high school

    Habari, wana JF! Nachukua nafasi hii kuwataka(kuwaomba) wote waliochaguliwa kwenda kidato cha tano Pugu boyz tufahamiane au sio?
  14. W

    JamiiForums Tanzania "Inaniuma..."

    umeelewa topic au umekurupuka?hajauliza kama advance rahisi au ngumu kwa mtindo huu ndo maana uliiona advance kichomi.
  15. W

    JamiiForums Tanzania "Inaniuma..."

    waliofail hawaulizii selection halafu unaonekana mgumu wa kuelewa, uamuzi wa serikali kufuta matokeo SABABU zilielezwa.je, Ilikuwa ni kuwaonea huruma?je, We naye ni great thinker?
Back
Top Bottom