TANZANIA TUNAUMIA KWA WOGA WETU.
Hakika kama tusipobadilika tukapunguza uoga,wenye meno wataendelea kuitafuna Tanzania na familia zao kunehemeka.kilichopo walioko madarakan wanawatumia watoto zao kujilimbikizia mali, baba ridh watanzania siku wakipunguza woga kwa asilimia moja wengi mtaishi...
Nimeamini kuwa kuna wanawake vichwa,serious wabunge viti maalum chadema wanaonyesha ni kwa kiasi gani wanastahili.
sio siri ccm viti maalum wanapeana kama zawadi tu.
Wadau nisaidieni "NI KWA NAMNA GANI GETRUD RWAKATARE ANASTAHILI KUWA KATIKA VITI MAALUM MJENGONI"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.