Kwenye biblia alimuokoa mme wake kuuliwa na mfalme Daudi baada ya kumtukana. Alitumia hekima kwenda na sadaka kumuombea mme wake msamaha. Mme wake alisamehewa hivyo alihesabika Kati ya wanawake wenye hekima katika biblia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.