Recent content by wakuishiishi

  1. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Vp kuhus food science inadeal na Nini?
  2. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Sawa je nikisoma health information systems (HIS) Kuna shida yoyote?
  3. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Sawa ahsante kwa ushauri wenu ningependa kujua kati ya course ya. environmental health, petroleum chemistry, health information systems (HIS) na bachelor in laboratory science ipi ni Bora kuliko zingne?
  4. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Sasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??
  5. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Sawa ahsante kwa ushauri wenu ningependa kujua kati ya course ya. environmental health, petroleum chemistry, health information systems (HIS) na bachelor in laboratory science ipi ni Bora kuliko zingne?
  6. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Ko yenyew ina soko kwa sasa?
  7. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Sa nisome course ipi? me Niko form six CBG
  8. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Nina miaka 19
  9. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Nina 1 Nina miaka 19
  10. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Sasa kama ni hvo nisome course ipi kati ya bachelor in applied geology, bachelor in laboratory science na bachelor in architecture??
  11. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Jamani naomba kujua je, bachelor in applied geology ina soko kwa saa hizi??
Back
Top Bottom