Recent content by wakatipesa

  1. W

    Nifanye biashara gani mbadala na duka?

    Asante maoni yako ni mazuri pia ila ukienda huku unaenda kuanza upya tena
  2. W

    Nifanye biashara gani mbadala na duka?

    Asante kwa ushauri nitaufia kaki
  3. W

    Nifanye biashara gani mbadala na duka?

    Yaani ushindani umekuwa mkubwa kiasi kwamba unalinda mtaji tu na kulipa kodi ya nyumba ndio hicho kinanikatisha tamaa
  4. W

    Nifanye biashara gani mbadala na duka?

    Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye biashara gani tofauti naduka ili initoe nilipo na kupiga hatua zaidi ASANTENI SAANA.
Back
Top Bottom