Recent content by wakandax

  1. wakandax

    MAJINA YA MIKOPO

    MKUU NIPE MAELEZO KIDOGO HAPO KWENYE KU LOGIN HESLB
  2. wakandax

    MAJINA YA MIKOPO

    ASANTE MKUU, KWAHIYO HIZI MAMBO ZA KUINGIA KWENYE ACCOUNT YAKO ULIOOMBEA SI KWELI?
  3. wakandax

    MAJINA YA MIKOPO

    WAKUU NAJUAJE KIASI CHA MKOPO NILICHOPANGIWA YANI (ASILIMIA) MSAADA KWA ANAYEFAHAMU
  4. wakandax

    Msaada wa application awamu ya pili

    tufanye hivi nikishalog inn kweny account yake then naelekea wapi ili kubadili kozi na kuapply zingine
  5. wakandax

    Msaada wa application awamu ya pili

    NISAIDIE NA MIMI MAANA NAMFANYIA MDOGO WANGU TULIAPPY MWANZO ILA SASA NI SECOND ROUND
  6. wakandax

    Msaada wa application awamu ya pili

    mkuu ku-reapply UDOM ukiingia kwenye account yako kipengere cha kuchagua kozi kunaload tu hakuna kozi yeyeto inayokuja kwann mkuu?
  7. wakandax

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    mbona mnachelewa kuweka majina ya waliochaguliwa kkuanza degree kweny chuo chenu
  8. wakandax

    Kozi nzuri ya afya

    diploma ya opthametry, radialogy , fanya hizo
  9. wakandax

    Msaada kwa sisi tulioomba diploma

    ok kiongozi mtukumbuke kipindi majibu yatakapokua tayari....ila mkuu tutegemee mwezi wa ngapi?
  10. wakandax

    DIT vipi?

    wakuu hiki chuo cha DIT mwenye link jamani tuwaangalia ndugu zetu
  11. wakandax

    Msaada kwa sisi tulioomba diploma

    mkuu kwa kauli hii inaonekana majibu bado
  12. wakandax

    Msaada kwa sisi tulioomba diploma

    Napenda kuuliza wakuu kwa sisi diploma tunaangalia vip matokeo na kama kuna mtu ana link basi aitume tusaidiane
Back
Top Bottom