Recent content by Wakami

  1. W

    JamiiForums Tanzania Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    Naungana kabisa na mtoa mada,lakini swali langu ni kwamba mi binafsi nawafahamu waislamu wengi tu ambao tunapiga nao kitimoto,sasa hiyo kitimoto inakuwa imechinjwa na nani?Ok sasa tukikubaliana kuwa waislamu ndio pekee wenye haki ya kuchinja,je wako tayari pia kutusaidia kuchinja kitimoto?
  2. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma ujumbe mzito kwa Rais Kikwete, Bosi wa UWT na IGP kuhusu Mwigulu

    Kwa mtu makini kabisa na mwenye akili timamu ambaye serikali inayoongoza ni ya chama chake ambacho yeye ni kiongozi mkubwa wa chama hicho hawezi kutoa kauli ya namna hiyo,''Kwamba vyombo vinvyosimamia ulinzi na usalama vimeshindwa kazi'' Ni matusi ya wazi kwa raisi na serikali yake,raisi ndiye...
Back
Top Bottom