Recent content by Wakaguongo

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SACCOs Zimeongeza Wanachama 480,000 - Lakini Akaunti Milioni 1.69 'Zimelala'

    SACCOs nchini Kenya zilipata Wanachama wapya takriban 480,000 katika kipindi cha mwaka mmoja, huku idadi ya wanachama katika SACCO zinazodhibitiwa ikifikia milioni 7.87 mwaka 2025, kutoka milioni 7.39 mwaka 2024. Kwa mtazamo wa kwanza, hii inaonekana kama ishara ya kuongezeka kwa imani ya...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SAWA, REFINERY YA DANGOTE INAJENGWA LAMU, LAKINI MAFUTA GHAFI(Crude Oil) YATATOKA WAPI?

    Ujenzi wa Dangote East Africa Oil Refinery huko Lamu sasa unaingia hatua nyingine, huku mradi wa takriban shilingi trilioni 2.2 ukitarajiwa kuwa na uwezo wa kuchakata hadi mapipa 700,000 ya mafuta ghafi kwa siku. Meli ya kwanza yenye tani 2,930 za vifaa vya ujenzi tayari imewasili Lamu Port...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Uganda Amfanyia Ruto Kampeni, Asema Waganda Wanaweza Kuvuka Mpaka na kupigia Ruto kura

    Waaah🥺🥺....kumekucha! Kumeeeekuchaaa! Pretty concerning, kitambulisho cha Kenya kimekuwa mbogamboga sana
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kirinyaga Yatangaza Vita dhidi ya 'Strip clubs' Zinazodaiwa Kuandaa 'Ngoma' za Uchi.

    Kaunti ya Kirinyaga imeingia katika mjadala kuhusu aina ya burudani inayoruhusiwa katika baa, baada ya Kamishna wa Kaunti Shufaa Omar Mwijuma kutangaza kuwa Serikali itachukua hatua dhidi ya baa mbili zinazodaiwa kuandaa burudani za wacheza ngoma uchi. Mwijuma amesema moja ya baa hizo iko...
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Yamsamehe Kanja, Yamuonya Vikali Kuhusu Kudharau Amri

    Mahakama Kuu imemsamehe Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja baada ya kumpata binafsi na hatia ya kudharau amri ya Mahakama iliyohusiana na vizuizi vya barabarani vilivyowekwa wakati wa maandamano ya Juni 25, 2026. Jaji Patricia Nyaundi hata hivyo ametoa onyo kali kwa IG Kanja, akisema...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Acha Kwenda Mikutano Ukiwa Mlevi" : Ruto asema baada ya Uhuru Kenyatta kudai Raila alishinda Uchaguzi 2022.

    Rais William Ruto amewataka viongozi kuwa na nidhamu na utulivu wanapozungumza hadharani, katika kauli inayoonekana kuelekezwa kwa aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta. Akizungumza Jumapili katika ibada ya kanisa Mwatate, Taita Taveta, Ruto alisema baadhi ya viongozi huenda kwenye mikutano wakiwa...
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dangote lamu refinery: Mashine Tani 2,930 Zawasili, Ujenzi Waingia Hatua Mpya

    Bandari ya Lamu leo imepokea meli ya MV Da Yang ikiwa na shehena ya metric tani 2,930 za mashine na vifaa vizito vinavyolengwa kutumika katika ujenzi wa Dangote East Africa Refinery. Meli hiyo inawasili siku chache tu kabla ya hafla ya uwekaji jiwe la msingi inayotarajiwa kufanyika Septemba 30...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atembelea Kiwanda cha Dangote Nigeria, kabla ya Uzinduzi wa Mradi Mkubwa Lamu, Kenya

    Rais William Ruto amezuru kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kilichopo Jijini Lagos, Nigeria, katika ziara inayokuja siku chache tu kabla ya kuanza kwa ujenzi wa kiwanda kama hicho katika kaunti ya Lamu. Uzinduzi wa ujenzi wa kiwanda cha Lamu, ambacho kinahusishwa na Mfanyabiashara huyo...
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Hatutaki Chupi" : Madai ya Chupi zenye alama za Kisiasa yaibua hasira kwa Wananchi Kirinyaga

    Siasa za Kirinyaga zimeingia kwenye eneo lisilotarajiwa. Chupi!🩲😂 Wakazi walioandamana mjini Kutus katika kaunti ya Kirinyaga wameibua madai kuhusu usambazaji wa chupi za wanawake zinazohusishwa na shughuli za kisiasa za Seneta Kamau Murango, ambaye anawania kiti cha ugavana wa Kirinyaga...
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan woman questions police after alleged arrest over Kenyan flag T-shirt

    A Kenyan woman has criticised the police after claiming she was arrested for wearing a T-shirt featuring the Kenyan flag. Visibly angry, the woman questioned why wearing the national colours would be considered grounds for arrest, sparking discussion online over freedom of expression and the...
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiambu Tena! Watu 12 wakamatwa Ruiru huku wasiwasi kuhusu pombe haramu ukiongezeka Kiambu

    Watu 12 wamekamatwa Ruiru, Kaunti ya Kiambu, katika msako wa pamoja wa maafisa wa usalama dhidi ya pombe haramu, bidhaa za pombe zinazodaiwa kuwa bandia na dawa za kulevya. Maafisa walinasa lita 211 za pombe ya kienyeji aina ya muratina, bidhaa mbalimbali za pombe zinazodaiwa kuwa bandia na...
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyeri Governor alleges official car used to pick up women at night

    Nyeri Governor Mutahi Kahiga has accused his Deputy Governor’s driver of allegedly using the Deputy Governor’s official vehicle to pick up and drop off women at night. Speaking about the matter, Kahiga claimed that he once followed the driver after he allegedly picked up several women from a...
Back
Top Bottom