Recent content by wakaexperience

  1. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Gari ya knununua

    Nyeupe ni rangi nzur kwangu ,kikubwa gari
  2. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Anayeuza camera anicheki

    Nishapata
  3. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Anayeuza camera anicheki

    Nishapata man,panasonic lumix tz80
  4. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Anayeuza camera anicheki

    Okay
  5. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Gari ya knununua

    Natafuta gari ya kununua aina ya ist,iwe ya kuanzia 2013 na kuendelea, iwe kwenye hari nzur ikiwa nyeupe itapendeza zaidi, nicheki waka.experience@gmail.com
  6. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Anayeuza camera anicheki

    Nataka kamera yenye quality nzur ya picha na video Nicon d500 na yeyote ile, Nichek, waka.experience@gmail.com
  7. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Engine ya boat

    Nataka mashine ya boat ndogo 15hs, iwe yamaha Nataka kwajil ya kutumika kwenye boat ndogo Aliyenaye iwe nzima isiwe na tatizo lolote Ofa yangu milion2
  8. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Vintage 90s clothing line

    Mwenye nguo za miaka ya 90s mashati majins na frana pia anitafute size ya surual 31 32
  9. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Acount ya instagram

    Nataka acount ya instagram yenye followerz laki moja Nanunua...mwenye nayo anitafute whatsapp +255656721501
  10. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Nataka boat ya kununua

    Nataka boat sio mtumbwi
  11. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Nataka boat ya kununua

    Hata kama sio nzima i can fix
  12. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Nataka boat ya kununua

    Boat mkuu ya kitaliii
  13. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Nataka boat ya kununua

    Nataka boat bila mashine hata kama ipo hovyo ntailekebisha
  14. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Nataka boat ya kununua

    Mm ni kijana mjasilia mali nataka boat ya kununua boat ndogo ya mbao,kwajili ya shughul za kitalii nataka boat tupu,ofa yangu ni milion2. Kwa mawasiliano nitafute kwa whatsapp +255656721501
  15. wakaexperience

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kuwe na Ngozi Nyeusi (Africans) na Nyeupe?

    Ukijiuliza maswali mengi ni vizuri, pia inatakiwa ujiulize maswari ya msingi zaidi,maswari ambayo ni yakujiuliza, jibu la swali lako kama ungetafakari kwa umakini zaidi kabla ya kujiuliza ungepata jibu rahisi sana, Utofauti wa rangi ni utofauti wa kimazingira na ya sehem husika,kibaologia na...
Back
Top Bottom