Hii ni namna ya kisasa ya kuwapa kuku maji na inafaida zifuatazo.
1.kuku hawawezi chafua maji hivyo kuepushwa na magonjwa.
2. Huitaji kubadili maji mara nyingi ndani ya siku kama ukitumia aina nyingine ya vifaa vya maji tulivyozoea.
3. Rahisi kutengeneza na gharama ni nafuu.
Matumizi:
Kuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.