Inatokeaaga na mimi naamini ilo kwamba inawezekana ulipiga ml5 kwasababu Kila kitu ni connection mana Kuna watu wana AVIATOR BOT ana predict matokeoo sahih na aki loose malamojamoja saana na pia Mimi nikipata apk ila nilikosa code nahangaikia kuicrack nikifakiwa 2 naamini na mimi umaskinin byebye
Yani kaka kunamkeka nilibeti nilibeti niliweka shoot on tergert 6.5 na wakatoka 6:1 lakini kwenye mkeka wakanikosesha kwa kuweka 6.0 sasa nilivo wasiliana nao wanasema nipate full match ili tuzihesabu on terget
Live score Kule wanasema 6.0 lakini Kuna score nyingine zina 6.1
Mimi nilibetia 6:1 kaka na pia Ile shoot on target niniiiona na alikua wa kwanza kupata burnley na pia jua kua Kuna score kubwa ambayo score ndogo zinategemea kwahiyo iyo kubwa ikikosea zinakosea zote na ndo maana nikaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.