Vipimo vya local vipo ila sio vya kuamini asilimia ya kutowa dry borehole ni kubwa sana boss tumia hivi vya mzungu tu ijapokuwa ni hali ila accurate yake ni kubwa compared to local method
Bei za Uchimbaji Visima zinatofautina kutokana na Nature of Rocks ya eneo husika
Kwa mfano;
Dar Es laam na baadhi ya maeno ya Pwani
Kuchimba ni Tshs 90,000/= kwa mita moja
Na Survey inafanyika kwa Tshs 350,000 hadi Tshs 500,000/=
Kwa mikoani kwa sababu maeneo mengi ni Hard rock formation...
Habari wana Jf
Tunajishughulisha na masuala ya UCHIMBAJI WA VISIMA NA KUFANYA UNDERGROUND WATER SURVEY
Tunatumia mashine za kisasa katika shughuli zetu
Ukichimba nasi uhakika wa kupata maji ni asilimia 99%
Tukikuchimbia sisi
•Bomba/uPvc
•pampu
•Water Test
•Tenki la maji bure kabisa
0689...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.