Ina vyumba vi3 vya kulala, kimoja master
-Sebule
-Dining
-Jiko + store
-Choo
-Veranda mbele + nyuma
Kiwanja kuanzia mita 18 kwa 15
HESABU ZA MSINGI:
Totali - 1200
Cement - 40
Kokoto - 400,000/-
Nondo - 30
Mchanga - 240,000/-
Binding Wire - 5Kg
Misumari Nchi 3 kilo 10
Misumari nchi 4 kilo 5...
Ina vyumba vi3 vya kulala, kimoja master
-Sebule
-Dining
-Jiko + store
-Choo
-Veranda mbele + nyuma
Kiwanja kuanzia mita 18 kwa 15
HESABU ZA MSINGI:
Totali - 1200
Cement - 40
Kokoto - 400,000/-
Nondo - 30
Mchanga - 240,000/-
Binding Wire - 5Kg
Misumari Nchi 3 kilo 10
Misumari nchi 4 kilo 5...
Yenye muhuri maana yake ni kuonesha kwamba raman imetoka ktk ofisi inayohusika na kutambulika kwa kazi za uchoraji raman za majengo na pia kunakuwa na sign(sahihi) ya architect..hii ni kwa ajili ya kwenda kuombea kibali cha ujenzi...inategemea unajenga mahala gan,lkn sio kwmba ikiwa na muhuri...
Kinatosha bila shaka yyte wala usipate wasiwasi....kiwanja mita 20 kwa 20 maana yake ni 400sqm ni kiwanja standard kabisa....siongei kwa ushabiki bali mm nadesign raman na kusimamia ujenzi...km hatua ni kubwa za mtu mzima bs wanasema ni sawa na mita tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.