Recent content by Wabeba Lawama

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Kumbe? karibu uraiani tupe habari za milembe. Au ndo hizi unazoleta hapa.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Mpeleke mahakamani basi. . ndo maana narudia hili kwa mantiki kubishana na mtu aliyetoroka milembe ni kazi sana. Rember hiyo ni acc. tu leo naweza change nikafungua leo nyingine nikaitumia. Lakini si ajabu wewe na mimi aliyeanza kuijua na kujoin jf ni mimi.. tofautisha acc.. ya jf na mchangiaji...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Olenaiko ni sawa kama unabishana na watu walitoroka milembe.. utapoteza muda wako bure nadhani ulimsikiliza PM lakini pia hakuna takukuru wala cag hapa hawana hoja za mashiko za kuhukumu.. wengine hapo wshakula ela za watu utaumiza kichwa bure kumfafanulia kitu alichopanga kutokielewa.. waambie...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Hii safi sana
  5. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima amtetea Lowassa

    PINDA NI MUHANGA WA VITA YA URAIS. *Kashfa ya sukari - MAJIBU. Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya uzushi ambayo imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye baadhi ya magazeti yenye kichwa cha habari "KASHFA YA SUKARI *Pinda ndani, * Masaburi amvaa Kinana" Katika habari hiyo, inatajwa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Pinda Kanikosha,Kama Atatekeleza Aliyoahidi Namuunga Mkono

Back
Top Bottom