Recent content by Wa90So90

  1. W

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kuhusu Kelele za Muziki Usiku Kutoka UBENA SPORT CLUB – Gongo la Mboto

    Habari, mimi ni mkazi wa Gongo la Mboto Kituo Kipya. Kuna club/bar inaitwa UBENA SPORT CLUB iliyopo karibu na reli ambayo imekuwa ikitusumbua sana sisi wakazi wa eneo hili kutokana na kelele kubwa za muziki. Muziki wao unapigwa kwa sauti kubwa kiasi kwamba tunashindwa kupata usingizi. Mara...
Back
Top Bottom