Recent content by Wa3

  1. W

    JamiiForums Tanzania Degree ya SUA pesa yako tu

    kaaa... hujui hata kudanganya jombaaaa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    kozi za sua ni maarufu kwa serikali thus hata wananchi wa kawaida hawawezi kuzifahamu mfano mtu aliyesoma bvm anaingia serikalini direct tofauti na mtu atakayesoma baf mzumbe lazima azungunge na vyeti mtaani ndo mana wanakua maarufu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    Kweli kachemka ardhi kwa st augustine bado sana angalia hta kwny rank ya vyuo bora tz st augustne iko juu ya ardhi xo i think ukilaza unamsumbua
  4. W

    JamiiForums Tanzania Eti vyuo vya kata

    Vitaje bac ili 2vijue mapemaaa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Bachelor in General Agriculture

    Mmmh! Subir tcu watoe muongozo mpya
  6. W

    JamiiForums Tanzania Sababu ya watu kudisco

    Wakubwa eti program inayoongoza kwa watu kudisco ni sababu ya ugumu au inakuwa na vilaza wengi
  7. W

    JamiiForums Tanzania BVM BVM BVM Ni Nouma

    Bro badilisha programe mapemaaa!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Msuli wa udsm ,sua,na mucco usipime

    Mmmh! Udsm kwa sua bado xana
Back
Top Bottom