Recent content by WA MAKOBHWEO

  1. W

    JamiiForums WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani walimu kwa nini hamtupi fedback kwa walio fanikiwa kupata watu wa kubadilishana nao? MIMI NIMEPATA WA KUBADILISHANA NAE NA TUMESHAKAMILISHA TARATIBU ZOTE NGAZI YA WILAYA TUNASUBIRI MKOANI. NASHAURI WALIMU MSIKATE TAMAA HAPA MSAADA UPO. NAWATAKIA KILA LA KHERI
  2. W

    JamiiForums WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nafundisha sec, nataka kwenda sumbawanga mjini nipo chato mjini.nitafute kwa 0683913738
  3. W

    JamiiForums WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    we unataka kwenda wapi?ni sec au pr?mi nipo chato sec km uko tayari nipigie 0683913738
  4. W

    JamiiForums WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wadau wa elimu.Nafundisha kisw/eng ktk shule ya Jikomboe High School iliyopo Chato mjini-Geita..Nataka kwenda Sumbawanga mjini.Kama kuna aliyetayari tubadilishane anitafute kwa 0683913738.Nipigie baada ya muda wa kazi.BIG RESULTS NOW
Back
Top Bottom