wataaalam niliwahi kuona kuna mtaalam mwenzetu ameweza ku set satellite tajwa hapo juu zote katika dish la 130cm ku band,nlikuwa naomba tena aipost tena ile attachment,natanguliza shukrani
wataalam nimenunua strong receiver srt 4922A,sasa nataka kupata channels za mpira katika eutelsat 7e kupitia channel za aljazeera au irib katika arabsat 5A @ 20'E,nifanyeje wakuu
msaada wataalam,hizi satellite mbili hapo juu kwa hapa dar naweza kuzipata kwa dish saizi gani kila moja?na je nkiwa na dish ya ku ya cm 130,inawezekana kuset katika dish hilo moja?ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.