Sister mi nafikiri ufurahi, ni ishara kwamba jamaa yako hachepuki, kuna wenzako wanalilia hicho unachochukia wewe, jamaa anapiga kwa mgao, mara moja kwa miezi miwili. Big up jamaa yako anaonesha anakupenda cause kila akipata hamu anakufikiria wewe na hachepuki, fanya mazoezi na ule vizuri...