Recent content by Vontec

  1. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Rejea comment #32, itakua tunakuelewasha afu kumbe hata huangaliagi mpira.
  2. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Hata basi kumwaga maji kama wakina Lomalisa, napo hakapigi
  3. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Rejea comment #10
  4. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Mara nyingi Bacca anakosa usaidizi kutokea nafasi ya kushoto Either inapigwa counter inabidi aende kucover nafasi ya dogo muda huoyupo mbele kwenye nafasi za kina Maxi. Rejea goli la kwanza zidi ya Al hilal. Au Bacca ukosa wa kucheza nae kwa kutoa pasi upande wa kushoto dogo muda huo tayari...
  5. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Nimekuwekea na ushaidi wa video, ushindwe wewe kuchambua, upande wa kushoto unavuja mno. Viongozi wanapaswa kufanya jambo immediately. Kimataifaa counter utumika sana, dogo anatu expose sana kwenye nafasi yake pale ambapo tunapokonywa mpira ghafla.
  6. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Kupanda panda kwakwe ovyo, husababisha nafasi yake kuwa exposed wengine wakienda ku cover nafasi yake upelekea either kufanya makosa ambayo uleta izo set pieces.
  7. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Rejea vizuri izo video
  8. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Magoli yanatokea upande wa dogo rejea comment number #10
  9. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Goli la kwanza vs Al Hilal limetokea upande huo wa dogo https://youtu.be/MAZIxeyyy1Y?si=_8wsiSzVHvqvHWLz Goli zote zidi ya Mc Alger zimetokeaa upande huohuo wa dogo https://youtu.be/5dNDRTi_xl4?si=06gFHpKjQEe3-0c3 Goli la TP Mazembe, upande huohuo wa dogo...
  10. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Mechi ya Jana ile Dk ya 2 bila busara za lefa TP Mazembe walikua wanapata bao la mapema. Maana Bacca kapewa pasi, upande wa kushoto option ya kutoa pasi ikawa haipo maana dogo alikua kashapanda mbele, Bacca akabaki na kigugumizi apeleke wapi mpira, Akapokonywa kilichosaidia ni alionekana...
  11. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    No wonder hata kiwango cha Max or Midfielders kukosa balance ni kutokana na upande wa beki wa kushoto kua ovyoo, sometimes ufanya midfielders or Max mwenyewe kurudi ku cover nafasi ya Dogo. Kanakimbilia mbele mno sehemu za Kina Maxi or attacking midfielders na kuacha nafasi yake wazi Sijui...
  12. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Aisee dogo ni shidda, dogo anafanya timu inakosa balance, mara nyingi Bacca analazimika kushuka kushoto ku cover nafasi yake pale dogo yupo mbele anazurura na mpira upokonywe ghafla kitu ambacho ufanya mstari wa mwisho kuvurugika.
  13. Vontec

    Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Aisee inashangaza sana timu kubwa kama Yanga kutokuliona hilo, timu ina benchi la ufundi wenye wataalamu kibao plus Football analyst, then inashindwa kugundua kama beki namba 3 inavuja, mechi karibia 5 mfululizo magoli yanatokea hukohuko
  14. Vontec

    Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

    Duh! Hasira zote izi zimesababishwa na Namungo! Mkubwaaa Jifunzeni kushinda mechi zenu, sio mnadroo na kudondoshaa point hasira mnazimalizia kwa wengine.
  15. Vontec

    Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

    RAMADHAN MWADUKE RAMADHAN MWADUKE RAMADHAN MWADUKE RAMADHAN MWADUKE RAMADHAN MWADUKE Uchambuzi wa Jamaa ni balaa, No blaablaa full of statistics na mbinu timu, makocha nk. Wanazotumia YouTube Channel: Data Sports Tv
Back
Top Bottom