Recent content by VOLDER

  1. V

    Fursa ya kazi kama kijana Mwenye kipaji cha utangazaji

    FURSA YA KAZI (UWE ACTIVE NA YOUTUBE) Anahitajika kijana wa kike au wa kiume kwa kazi ya utangazaji habari za burudani (ajue udaku) online. VIGEZO NA MASHARTI. 1. Umri kuanzia miaka 20 mpaka 30. 2. Awe na smartphone au laptop. 3. Awe na utayari (active) wakati wote wa kazi. 4. Awe tayari...
  2. V

    Wanahitajika Watangazaji wa Entertainment Kwenye YouTube

    Hapo kuna namba ya simu, Unaweza kunitafuta.
  3. V

    Wanahitajika Watangazaji wa Entertainment Kwenye YouTube

    Habari wanaJamiiForums, Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae anaweza kufanya kazi akiwa nyumbani. Kuna youtube channel ambayo imenza kupokea matangazo na tayari...
  4. V

    Anahitajika mwandhishi wa makala na uchambuzi wa siasa hasa za Kenya

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Kama kuna kijana ambae yupo serious na ni muandishi mzuri sana wa makala za kihistoria (deep) lakini pia anaweza akawa mchambuzi mzuri sana kwenye siasa hasa za Kenya na kuziandikia makala basi anitafute kwa mawasiliano haya. +255 623 582 579...
Back
Top Bottom