Recent content by Void ab initio

  1. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeona mjadala kuhusu odd mbili, kimsingi kwenye kubeti hakuna odd za uhakika au za kutokupoteza ndio sababu unashangaa option ina odd 1.1 na bado inachana, kwa mfano mechi ya leo ya Mancity kipindi cha kwanza wameenda corner moja tu si maajabu haya. Ila kuna option ambazo zinapunguza uwezekano...
  2. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wa stake mlima kazi kwenu; Saa 3.30 usiku(09:30pm) Man city vs Norwich Over 4.5 HT Corners ODDS: 1.70
  3. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yeah kabisa mkuu
  4. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA,AISEEE!!!
  5. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wa stake mlima, saa 4.30 usiku(10:30pm) Barcelona Vs Racing Over 4.5 HT Corners ODDS: 1.50
  6. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WOOOOON PESAAA, TUKUTANE KWA WAKALA
  7. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wazee wa stake mlima; Mechi ya Elche vs Real Madrid Over 4.5 HT Corners. ODDS 1.76 (10:30pm)
  8. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WOOOON, JANA NGOMA ILIITIKA MAPEMA SANA NDANI YA DAKIKA 28 TU. AISEEE!!!!
  9. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi ya Basel Vs Sion(9:30pm) Over 4.5 HT corners ODDS: 1.88
  10. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    AISEEE...mambo yamekuwa mengi
  11. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wewe ni mgeni humu sinaga tabia ya kuringisha ushindi, kwanza hizo code ni za nigeria wanaachia kila siku ni universal,hata wewe unachukua tu.
  12. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio maana nimeweka handle yake hapo, mimi nafasi yangu kwasasa kuingia humu ni ndogo sana. 2018 na 2019 ndio nilikuwa ninashinda humu.
  13. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa yuko twitter anajiita 39billions kila siku anatoa mkeka wa timu 39 odds zaidi ya laki mbili. Mimi namfuatilia mwaka wa pili sasa hivi.
  14. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu niliweka 50, nikawahi kucashout
  15. Void ab initio

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hatari nililifuata nimepata milioni 9
Back
Top Bottom