Kwamba unahisi ninavyoandika navibuni, unachokisema nakijua.
Nilichoandika sio kwamba nishati ya hydrogen itumike kuongeza uzalishaji wa umeme, bali itumike kama kihifadhi umeme ili ikifika wakati wa kiangazi na ukame (maji yanapopungua) iwapo uzalishaji wa umeme kwa njia nyingine utapungua basi...
Kwenye upande wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia vyanzo vingine hawataathirika kutokana na uzalishaji wa hydrogen utategemea umeme utokanao na vyanzo vingine.
Pia ingependeza ulivyokosoa uje na fact uonyeshe ni gharama kubwa kiasi gani itakayotumika kuzalisha hiyo hydrogen ambayo nchi itahindwa kumudu.
Kumbuka gharama kubwa ni kutokana na umeme unaotumika kuzalisha hydrogen, na mimi nimeandika kutokana na yaliyotokea ya umeme kuzalishwa kuzidi...
Upo sawa kabisa, ni kama cycle hivi inafanyika, mwanzo umeme unatumika kuvunja maji tunapata gesi ya oksijeni na hydrojeni, na baadae hydrogen na oksijeni zinaungana kutengeneza maji wakati huo umeme unazalishwa.
Asante sana mkuu,
Naomba nikujibu kama ifuatavyo;
1. Umeme unazalishwa kwa wingi kipindi mvua zikiwa nyingi, kwaiyo mito, mabwawa na vyanzo vingine vya maji vinakua vimefurika na ndio wakati muafaka wa kutumia umeme unaozidi kuzalisha hydrojeni. Kwaiyo hakutokua na athari yoyote ya kupunguza...
Ni salama kabisa, Ukipitia vizuri andiko hili utaona hydrojeni inaweza kuzalishwa kutoka kwenye maji taka, kwaiyo inasaidia pia kwenye kusafisha maji. Ina maana maji taka yanasafishwa wakati wa kuzalisha hydrojeni yanakua safi kwaajili ya matumizi ya binadamu.
Pia hata yakitumika maji safi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.