Recent content by Vodacom Client

  1. V

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    iila mnanipa raha bora hali ibaki kuwa hivi vyuo visitangazwe mwendee na burudani
  2. V

    Majibu ya TCU, NACTE and HESLB

    Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya...
  3. V

    NACTE waitwika zigo TCU

    Kwa maana hii vyuo ambavyo vimetangaza selection mapema majina vimetoa wapi? wakati waliomba kupitia tcu .Jamani waache uongo basi utendaji umekuwa bora kwenye vyuo kuliko tcu?
  4. V

    Tofauti kati ya kozi hizi

    me sijui ndugu yangu ndio maana nimeileta ndani ya jamvi ili mnisaidie
  5. V

    Tofauti kati ya kozi hizi

    haaaaaaaa.weeee naye
  6. V

    Tofauti kati ya kozi hizi

    yah.umeshinda jipigie makofi .nipe jibu la swali langu bac
  7. V

    Majina yametoka NACTE kwa wale waliokosa first batch

    asante kwa kuwapatia taarifa wadogo zetu
  8. V

    Tofauti kati ya kozi hizi

    Jamani kuna utofauti gani kati ya:- 1)Bachelor of education in adult and community , 2)Bachelor of education in adult education and development na 3)Bachelor degree in adult and continuing education HAYA NANI MKALI AFAFANUE
  9. V

    Joining instruction ya Marangu TTC

    alitumia adress ya mtu.na mtu huyo kwa sasa anamwambia yuko nje ya nchi nifanyeje? nimeingia nacte nikaandika kama nilivyoelekezwa sijaona hiyo kitu please nisaidie wanajamvi walau nione kama hatapewa ruhusa complication za waajili mnazujua
  10. V

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    mmmmmmmmm! sijawaiona kwenye mtindo wa saa hicho ulichoeleza
  11. V

    Joining instruction ya Marangu TTC

    wanajamvi nisaidie dogo akasome
  12. V

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    JARIBU BAHATI YAKO MAPEMA~: unafikri itakuwa saa ngapi tcu kuruhusu link yao ili washiriki kujua vyuo vyao siku ya jumatatu ya tar 22/09/14
  13. V

    Joining instruction ya Marangu TTC

    nilitaka nipate joining instruction ya chuo cha marangu ttc upande wa stashahada elimu ya msingi
Back
Top Bottom