Recent content by Vladmir Alexander

  1. V

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa 515 wagundulika katika mikoa mitatu

    Kabisaaa Hata mimi naona wazi umuhimu wa NIDA sasa. kwa sababu watu wengi hawajui lengo la NIDA wanajua ni kitambulisho tu. Kumbe NIDA ni zaidi ya kitambulisho. Wanasajili watu katika database ya taifa. na kwa mfano mtu akiwa ameajiriwa Arusha hataweza kuajiriwa tena Dodoma ama pengine kwa kuwa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Vipi NIDA Mbona wamekaa kimya, Vitambulisho vipya mchakato ukoje?

    Mimi nadhani tuwape muda tu Hao NIDA labda wanajipanga kufanya kitu kizuri zaidi chenye mafanikio
Back
Top Bottom