Recent content by Vivan cappatinho

  1. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Hapo sasa sielewi chochote ndio maana nikataka kusaidiwa then me ntalipia
  2. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Mkuu kama vile kuna kitu unakijua fanya kunisaidia me nitalipia. Sina pc nipe tu muongoza taratibu nini chakufanya hadi nifanikiwe
  3. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Hakuna update yoyote zaid ya kila mwezi wananiletea security update na hainisaidii kitu
  4. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Kwenye mfumo wa MIUI kila kitu kikikuwa sawa na nlikuwa najivunia hii simu
  5. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Kipindi natumia MIUI simu ilikuwa na performance nzuri sana na ata battery ilikuwa vizuri nlikuwa naweza kuwasha data masaa 3 nipo online na simu ina 30% ila toka nimefanya update simu imekuwa haikai na charge nawez weka mfukoni nisitumie siku nzima nakuja kutoa ina 80% na sio kawaida. Kitu...
  6. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Huwezo wa kukaa na charge umepungua nikazani ni simu yangu tu ila kuna sehemu nilisoma ata watu wengine wanalalamikia swala hilo pia performance sio nzuri sana
  7. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Hii sitaki maana inafanya simu imekuwa nzito na haitunzi charge sana
  8. Vivan cappatinho

    Nahitaji mtaalamu wa software kwa malipo

    Nipo mwanza nina simu ya xiaomi k50 nataka kutoa kwenye mfumo wa hyper os nirudi kwenye miui 14 au 13. Anaeweza njoo inbox tufanye kazi
  9. Vivan cappatinho

    Msaada wa kurudisha email kwa malipo

    Email hipo me naishia hapo
  10. Vivan cappatinho

    Msaada wa kurudisha email kwa malipo

    Bado sijafanikiwa ingia vitani
  11. Vivan cappatinho

    Msaada wa kurudisha email kwa malipo

    Hapana shida ni kila nikitaka kuingia inakataa naambiwa too many attempts fail
  12. Vivan cappatinho

    Msaada wa kurudisha email kwa malipo

    Hapana. Hii nlikuwa naingia vizuri tu shida nlibadili simu sasa kila nikitaka kuingia inaniambia too many attempts fail
  13. Vivan cappatinho

    Msaada wa kurudisha email kwa malipo

    Wakuu kwema? Nina email yangu imegoma kurudi nilikuwa naomba msaada wa kuirudisha na mimi nitatoa zawadi kwa yoyote yule atakaeweza. Email ni " godfreydumba8@gmail.com" password ni Viviane2021 na namba ya simu ni 0760618626
Back
Top Bottom