Recent content by vita kubwa

  1. vita kubwa

    Anatafuta kazi

    Nashukuru kaka nakutafuta sio muda
  2. vita kubwa

    Kioo cha blackberry p10 kinahitajika

    kama unacho taja bei na mawasiliano yako
  3. vita kubwa

    Simu inauzwa

    Samsung j2 Inauzwa 140,000 haina hata scrach iko poa bila mchubuko wowote nipo kigambon Dar kwa Anaye hitaji nipigie 0719939551
  4. vita kubwa

    Anatafuta kazi

    Yupo tayari kaka kuifanya hiyo kazi
  5. vita kubwa

    Anatafuta kazi

    Ninaye Ndugu yangu ana miaka 26 Elimu yake ni kidato cha nne ni kijana mwenye Maadili sana Kwa kuwa ni mlokole Kutokana na hali ngumu iliyopo kwa sasa anahitaji kazi yoyote ya kujikimu hata kama itakuwa Kuuza Chips,Duka,Pia ana utaalamu na Mambo ya ujenzi japo hana vyeti kwa yeyote mwenye...
Back
Top Bottom