Recent content by visimaTz

  1. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️
  2. visimaTz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndege maalum iliyoondoka na Kipchoge ambaye anakwenda kuweka rekodi mpya duniani

    [emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️
  3. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    hili swali kaka gumu nadhani itabidi utenge muda wako siku utembelee wizara ya maji then waulize swali hili kwamba ninapohitaji kisima Dodoma au Shinyanga mita moja mnachaji kiasi gani alafu mimi nasubiria jibu utakalokuja nalo mkuu
  4. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    mkoa gani ndugu?
  5. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    gharama za visima zipo kama nauli za mabasi au ndege nauli yako inategemea umbali unaokwenda sasa na visima hivyo hivyo
  6. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    kuna vipimo viko wazi kabisa
  7. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    ndiyo
  8. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    laki moja na nusu
  9. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    mvuti kisima kinatakiwa kiwe na urefu wa mita zisizopungua 90
  10. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    kuna mashine ya kunyonya tope labda kisima kina urefu gani ?
  11. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    kinatakiwa kiwe na urefu wa mita 120
  12. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    hizi gharama zinatofautiana kutokana na umbali wa sehemu au mkoa pia gharama hutofautiana kutokana na formation ya eno namaanisha miamba (land formation) pia vifaa vinavyohitajika kwenye hiyo formation urefu wa kisima unategemea na miamba iliyopo katika eneo au mkoa wako labda wewe ndugu upo...
  13. visimaTz

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    gharama za uchimbaji visima kulingana na mkoa uliopo (Dar es salaam 50,000 kwa mita moja (pwani,kibaha,mkuranga,kimanzi chana,mlandizi,kisarawe,Bagamoyo 60,000 kwa mita moja (morogoro) 90,000 kwa mita moja (Tanga) 90,000 kwa mita moja (mtwara,lindi ,masasi) 90,000 kwa mita (moshi)100,000 kwa...
Back
Top Bottom